Other Public Use Forms

2010 Census

D-60_Swahili

Other Public Use Forms

OMB: 0607-0919

Document [pdf]
Download: pdf | pdf
Mwongozo wa Usaidizi wa Lugha
KISWAHILI / SWAHILI

U.S. DEPARTMENT OF COMMERCE
Economics and Statistics Administration
U.S. CENSUS BUREAU

5.

Tumia kalamu ya buluu au nyeusi.
Sensa hii lazima imuhesabu kila mtu anayeishi hapa mnamo
tarehe 1 Aprili 2010.

Jina la Mtu wa 1 ni lipi? Andika jina hapa chini.

Kabla ya kujibu Swali la 1, hesabu watu wanaoishi katika
nyumba hii, orofa, au nyumba inayohamishika kwa kutumia
maongozi yetu.
v Hesabu watu wote, pamoja na watoto ambao wanaishi na
kulala hapa kila wakati.
Shirika la Sensa pia hutekeleza hesabu katika taasisi na
sehemu zingine, kwa hivyo:

Jina la Mwisho
Jina la kwanza

Herufi
ya Kati

6. Jinsia ya Mtu wa 1 ni ipi? Weka alama ya I kwa kisanduku KIMOJA.
Mwanaume

7.

v Usimuhesabu mtu yeyote anayeishi chuoni au katika kambi
ya Majeshi.
v Usimhesabu mtu yeyote aliye hospitalini, gerezani, korokoroni,
kizuizini, n.k mnamo tarehe 1 Aprili, 2010.
v Usiwajumuishe watu hawa katika fomu yako, hata kama
watarudi kuishi hapa baada yao kutoka chuoni, hospitalini,
kambini, gerezani, n.k. La sivyo wanaweza kuhesabiwa
mara mbili.

Tafadhali toa habari za kila mtu anayeishi hapa. Anza na mtu anayeishi
hapa ambaye anamiliki au anakodi nyumba hii, orofa, au nyumba ya
kuhamishika. Ikiwa mmiliki au mkodishaji anaishi mahali pengine, anza
na mtu mzima yeyote anayeishi hapa. Huyu atakuwa Mtu wa 1.

Mwanamke

Umri wa Mtu wa 1 ni upi na alizaliwa tarehe gani?
Tafadhali ripoti watoto wasiofika umri wa mwaka mmoja.
Andika nambari kwenye visanduku.
Umri mnamo 1 Aprili, 2010 Mwezi
Siku
Mwaka wa kuzaliwa

KUMBUKA: Tafadhali jibu Swali la 8 kuhusu asili ya Kihispania na Swali
la 9 kuhusu kabila. Kwa sensa hii, Asili ya Kihispania si kabila.

8.

Je, Mtu wa 1 ana asili ya Kihispania, Kilatino au Uhispania?
Hapana, hana asili ya Kihispania, Kilatino au Uhispania
Ndiyo, Mmeksiko, Mwamerika Mmeksiko, Chikano
Ndiyo, Mpoteriko
Ndiyo, Mkuba
Ndiyo, asili nyingine ya Kihispania, Kilatino au Uhispania – Andika asili, kwa mfano,
Mwajentina, Mkolombia, Mdominika, Mnikaragua, Msalvadorani, Mspaniadi na kuendelea.

Sensa hiyo lazima pia ijumuishe watu ambao hawana mahali
pa kudumu pa kuishi, kwa hivyo:
v Ikiwa kuna mtu ambaye hana mahali pa kudumu pa kuishi na
anaishi hapa mnamo tarehe 1 Aprili 2010, mhesabu mtu huyo.
La sivyo, anaweza kukoswa katika sensa hiyo.

Fold Line

Anza hapa

1. Ni watu wangapi waliyokuwa wakiishi au wanaishi katika nyumba
hii, orofa, nyumba inayohamishika mnamo tarehe 1 Aprili, 2010?
Idadi ya watu =

9.

Mzungu
Mweusi, Mwamerika Mweusi, au Negro
Mhindi Mwamerika au Asili ya Alaska – Andika jina la kabila lililoandikishwa au kuu.

2. Je, kulikuwa na mtu yeyote wa zaidi aliyekuwa akiishi hapa mnamo
tarehe 1 Aprili, 2010 ambaye hukumjumuisha katika Swali la 1?
Weka alama ya
kwa zote zinazotumika.

Watoto, kama vile watoto wachanga au watoto wanaolelewa
Jamaa, kama vile watoto, binamu, au wakwe watu wazima
Watu wasio jamaa, kama vile wakazi wenzako au walezi wa
watoto wanaoishi na wewe
Watu wanaoishi hapa kwa muda
Hakuna watu zaidi

Mhindi Masia
Mjapani
Mchina
Mkorea
Mfilipino
Mvietinamu
Masia Mwingine – Andika jamii, kwa
mfano, Mhmong, Mlaotiani, Mthai,
Mpakistani, Mkabodia, na kuendelea.

3. Je, hii ni nyumba, orofa, au nyumba inayohamishika Weka alama ya I

Mhawaii Asili
Mguamaniani au Chamoro
Msamoa
Mpasifiki Mwingine wa Kisiwa Andika jamii, kwa mfano, Mfiji,
Mtongani, na kuendelea.

kwa kisanduku KIMOJA.

Unaimiliki au mtu mwingine katika nyumba hii kwa malipo benki
au mkopo? Jumuisha mikopo ya hisa ya nyumba.
Unaimiliki au mtu mwingine katika kaya nyumba hii bila ya mkopo?
Imepangishwa?
Unaishi bila malipo ya kodi?

4. Nambari yako ya simu? Tunaweza tukakupigia simu ikiwa
hatuelewi jibu.
Nambari ya Eneo + Nambari
–
–

Form

Kabila la Mtu wa 1 ni ipi? Weka alama ya I kwa kisanduku kimoja au zaidi.

D-60(Swahili)

(07-15-2008)

USCENSUSBUREAU

Jamii zingine – Andika jamii

10.

Je, Mtu wa 1 wakati mwingine huishi au hukaa mahali pengine?
Hapana

Ndiyo — Weka alama ya I

Katika makazi ya chuo
Katika kambi ya majeshi
Kwa makazi ya muda
au ya pili

kwa zote zinazotumika.

Kwa malezi ya mtoto
Gerezani au korokoroni
Nyumba ya wazee
Kwa sababu nyingine

Ikiwa watu zaidi walihesabiwa katika Suali la 1, endelea na Mtu wa 2.

D-60(English) Base prints in BLACK Ink

Weka alama ya majibu yako kwenye kidadisi chako rasmi cha Sensa ya 2010 na SIO kwenye Mwongozo huu wa Usaidizi wa Lugha.

v Mwongozo huu hutoa tafsiri ya maswali ya sensa, maagizo, na vitengo vya majibu vinavyoonekana kwenye kidadisi rasmi cha Sensa ya 2010.
v Pata majibu yako katika mwongozo huu lakini weka alama majibu yako katika swali sawa na lililo kwenye kidadisi rasmi cha Sensa ya 2010.
v Tuma kidadisi chako rasmi kilichokamilishwa cha Sensa ya 2010. USITUME Mwongozo huu wa Usaidizi wa Lugha.

Weka alama ya majibu yako kwenye kidadisi chako rasmi cha Sensa ya 2010 na SIO kwenye Mwongozo huu wa Usaidizi wa Lugha.

1.

Andika majina ya

Watu 2-6

Jina la Mwisho
Herufi
ya Kati

Jina la kwanza

2.

Mtu huyu anahusianaje na Mtu wa 1? Weka alama ya
KIMOJA.
Mume au mke
Mwana wa kiume au wa kike wa kizazi
Mwana wa kiume au wa kike wa kulea
Mwana wa kiume au wa kike wa kambo
Ndugu au dada
Baba au mama
Mjukuu

3. Jinsia ya Mtu huyu ni ipi?
Mwanaume

4.

Weka alama ya

kwa kisanduku

Wakwe
mkwe au wifi
Jamaa mwingine
Mpangaji au mkaaji
Mkazi mwenzako
Mwezio ambaye hamjafunga ndoa
Mtu mwingine asiye jamaa

Ikiwa hukuwa na nafasi ya kuorodhesha kila mtu anayeishi katika
nyumba hii au orofa, tafadhali orodhesha hao wengine hapa chini.
Shirika la Sensa linaweza likawasiliana na wewe kwa habari sawa na
hizi kuhusu watu hawa

Watu 7-12
Jina la Mwisho
Jina la kwanza

Herufi ya Kati

Jinsia
Mwanaume
Mwanamke
Umri mnano 1 Aprili, 2010 Tarehe ya Kuzaliwa
Mwezi
Siku

Mwaka

kwa kisanduku KIMOJA.

Mwanamke

Anahusiana na Mtu wa 1?

Ndiyo

Hapana

Umri wa Mtu huyu ni upi na alizaliwa tarehe gani?
Tafadhali ripoti watoto kama umri wa miaka 0 ikiwa mtoto ana umri wa chini
ya mwaka 1.
Andika nambari kwenye visanduku.
Mwaka wa kuzaliwa
Umri mnamo 1 Aprili, 2010 Mwezi
Siku

KUMBUKA: Tafadhali jibu Swali la 5 kuhusu asili ya Kihispania na
Swali la 6 kuhusu kabila. Kwa sensa hii, Asili ya Kihispania si kabila.
Je, Mtu huyu ana asili ya Kihispania, Kilatino au Uhispania?
Hapana, hana asili ya Kihispania, Kilatino au Uhispania
Ndiyo, Mmeksiko, Mwamerika Mmeksiko, Chikano
Ndiyo, Mpoteriko
Ndiyo, Mkuba
Ndiyo, asili nyingine ya Kihispania, Kilatino au Uhispania – Andika asili, kwa mfano,
Mwajentina, Mkolombia, Mdominika, Mnikaragua, Msalvadorani, Mspaniadi na kuendelea.

6.

Kabila la Mtu huyu ni ipi? Weka alama ya

Kwa habari za zaidi kuhusu Sensa ya 2010,
tafadhali tembelea tovuti ifwatayo:
.

Fold Line

5.

kwa kisanduku kimoja au zaidi

Mhindi Masia
Mjapani
Mchina
Mkorea
Mvietinamu
Mfilipino
Masia Mwingine – Andika jamii, kwa
mfano, Mhmong, Mlaotiani, Mthai,
Mpakistani, Mkabodia, na kuendelea.

Mhawaii Asili
Mguamaniani au Chamoro
Msamoa
Mpasifiki Mwingine wa Kisiwa Andika jamii, kwa mfano, Mfiji,
Mtongani, na kuendelea.

Kabilai lingine — Andikakabilai

7.

Je, Mtu huyu wakati mwingine huishi au hukaa mahali pengine?
Hapana

Ndiyo — Weka alama ya

kwa zote zinazotumika.

Katika makazi ya chuo
Katika kambi ya majeshi
Kwa makazi ya muda
au ya pili

Kwa malezi ya mtoto
Gerezani au korokoroni
nyumba ya wazee
Kwa sababu nyingine

Ikiwa watu zaidi walihesabiwa katika Suali la 1, endelea na Mtu wa 3.
Page 2

KUMBUKA:
Tuma kidadisi chako rasmi
kilichokamilishwa cha Sensa ya 2010.
USITUME Mwongozo huu
wa Usaidizi wa Lugha.
ASANTE.

D-60(English) Base prints in BLACK Ink

Mzungu
Mweusi, Mwamerika Mweusi, au Negro
Mhindi Mwamerika au Asili ya Alaska – Andika jina la kabila lililoandikishwa
au kuu.


File Typeapplication/pdf
File Modified2008-07-16
File Created2008-07-16

© 2024 OMB.report | Privacy Policy