Attachment G3. Women’s Health Needs Study Questionnaire (Swahili translations)
Section |
Question |
English Items |
Translation Section |
Question |
Translated item |
Screener Cover Page |
OMB notice |
Form Approved |
Ukurasa wa Kwanza Mhoji |
Notisi ya OMB |
Fomu Iliyopitishwa |
|
|
OMB Number: |
|
|
Nambari ya OMB |
|
|
Expiration Date: |
|
|
Tarehe ya Kuisha |
Screener |
Survey Title |
Women's Health Needs Study |
Mhoji |
Mada ya Utafiti |
Utafiti wa Mahitaji ya Afya ya Wanawake |
|
|
|
|
|
|
Screener |
OMB Burden Statement |
Public reporting burden of this collection of information is estimated to average 1 minute per response, including the time for reviewing instructions, searching existing data sources, gathering and maintaining the data needed, and completing and reviewing the collection of information. An agency may not conduct or sponsor, and a person is not required to respond to a collection of information unless it displays a currently valid OMB control number. Send comments regarding this burden estimate or any other aspect of this collection of information, including suggestions for reducing this burden to CDC/ATSDR Reports Clearance Officer; 1600 Clifton Road NE, MS D-74, Atlanta, Georgia 30333; ATTN: PRA (0920-xxxx). |
Mhoji |
Ilani ya Uzito OMB |
Muda wa kuripoti mkusanyiko huu wa habari unakadiriwa kuwa dakika 1 kwa kila jibu, inajumuisha wakati wa kupitia maagizo, kutafuta rasilimali zilipo, kukusanya na kudumisha data inayohitajika, na kukamilisha na kupitia mkusanyiko wa habari. Wakala hafai kuendesha au kufadhili, na mtu hahitajiki kujibu mkusanyiko wa maswali isipokuwa inapoonyesha nambari sahihi ya OMB. Tuma maoni kuhusiana na kadiri hii ya ilani ya uzito au kipengele chochote kuhusu mkusanyiko huu wa habari, ikijumuisha ushauri wa kupunguza uzito huu hadi CDC/ATSDR ofisa wa kukamilisha; 1600 Clifton Road NE, MS D-74, Atlanta, Georgia 30333; ATTN: PRA (0920-xxxx). |
|
|
|
|
|
|
SECTION A. SCREENER |
|
|
SEHEMU A. SWALI |
|
|
A |
Screener 1 |
Have you previously participated in the Women’s Health Needs
Study (WHNS)? Yes [END
SURVEY] |
A |
Swali 1 |
Je, Umewahi kushiriki katika utafiti wa Women's Health Needs
(WHNS)? Ndio [Kamilisha
Utafiti] |
|
Screener 2 |
Which of the following languages do you speak? |
|
Swali 2 |
Je, unazungumza lugha gani kati ya zifuatazo? |
|
|
Amharic |
|
|
Kiamhari |
|
Screener 3 |
Which language would you prefer to use for this interview? [INTERVIEWER NOTE: IF YOU DO NOT SPEAK THE LANGUAGE PREFERRED, MAKE NOTE AND END INTERVIEW]. |
|
Swali 3 |
Je, ni lugha gani ungependa kutumia katika utafiti huu? [KUMBUKUMBU YA MTAFITI: IWAPO HUZUNGUMZI LUGHA INAYOPENDELEWA, TIA DUKUKUKU NA UKAMILISHE UTAFITI |
|
Screener 4 |
In which country were you born? |
|
Swali 4 |
Je, ulizaliwa katika nchi ipi? |
|
|
Don’t Know |
|
|
Sijui |
|
Screener 5 |
Have you ever lived in any of the following countries? |
|
Swali 5 |
Je, umewahi ishi katika mataifa yafuatayo? |
|
|
Yes No |
|
|
Ndio La |
|
|
Egypt |
|
|
Misri |
|
Screener 6 |
In which country was your father born? |
|
Swali 6 |
Je, babako alizaliwa katika nchi ipi? |
|
|
Don’t Know |
|
|
Sijui |
|
Screener 7 |
In which country was your mother born? |
|
Swali 7 |
Je, mamako alizaliwa katika nchi ipi? |
|
|
Don’t Know |
|
|
Sijui |
|
Screener 8 |
Has your mother lived in any of the following countries? |
|
Swali 8 |
Je, mamako ameishi katika mataifa yafuatayo? |
|
|
Egypt |
|
|
Misri |
|
Screener 9 |
How old are you? |
|
Swali 9 |
Je, una miaka ngapi? |
|
|
Under 18 years |
|
|
Chini ya miaka 18 |
*Other countries depending on expected population of sites
File Type | application/vnd.openxmlformats-officedocument.wordprocessingml.document |
Author | Snead, Margaret C. (CDC/ONDIEH/NCCDPHP) |
File Modified | 0000-00-00 |
File Created | 2021-01-15 |