Women's Health Needs STUDY_QUESTIONNAIRE

Women’s Health Needs Study: The Health of US-Resident Women from Countries with Prevalent Female Genital Mutilation/Cutting (FGM/C)

Att H3 Initial Pilot Questionnaire WHNS_Swahili

Women's Health Needs STUDY_QUESTIONNAIRE

OMB: 0920-1264

Document [docx]
Download: docx | pdf



Attachment H3. Women’s Health Needs Study Questionnaire (Swahili translations)





Full Questionnaire


Hojaji Kamili




Cover Page

Public reporting burden of this collection of information is estimated to average 45 minute per response, including the time for reviewing instructions, searching existing data sources, gathering and maintaining the data needed, and completing and reviewing the collection of information. An agency may not conduct or sponsor, and a person is not required to respond to a collection of information unless it displays a currently valid OMB control number. Send comments regarding this burden estimate or any other aspect of this collection of information, including suggestions for reducing this burden to CDC/ATSDR Reports Clearance Officer; 1600 Clifton Road NE, MS D-74, Atlanta, Georgia 30333; ATTN: PRA (0920-xxxx).


Ukurasa wa Kwanza

Muda wa kuripoti mkusanyiko huu wa habari unakadiriwa kuwa dakika 45 kwa kila jibu, inajumuisha wakati wa kupitia maagizo, kutafuta rasilimali zilipo, kukusanya na kudumisha data inayohitajika, na kukamilisha na kupitia mkusanyiko wa habari. Wakala hafai kuendesha au kufadhili, na mtu hahitajiki kujibu mkusanyiko wa maswali isipokuwa inapoonyesha nambari sahihi ya OMB. Tuma maoni kuhusiana na kadiri hii ya ilani ya uzito au kipengele chochote kuhusu mkusanyiko huu wa habari, ikijumuisha ushauri wa kupunguza uzito huu hadi CDC/ATSDR ofisa wa kukamilisha; 1600 Clifton Road NE, MS D-74, Atlanta, Georgia 30333; ATTN: PRA (0920-xxxx).


OMB notice

Form Approved


Notisi ya OMB

Fomu Iliyopitishwa



OMB Number:



Nambari ya OMB



Expiration Date:



Tarehe ya Kuisha


Survey Title

Women's Health Needs Study


Mada ya Utafiti

Utafiti wa Mahitaji ya Afya ya Wanawake







SECTION B. BACKGROUND CHARACTERISTICS


SEHEMU B. HULKA ZA HISTORIA



Intro

Now we can begin. I am going to start by asking you some basic questions about your background.


Dibaji

Sasa tunawezaanza Nitaanza kwa kukuuliza maswali ya kimsingi kuhusu historia yako


Q1

What languages do you speak comfortably now?


SWALI LA 1

Je, ni lugha zipi unazungumza bila tatizo sasa hivi?


Q2

Do you speak a language other than English at home?


SWALI LA 2

Je, unazungumza lugha nyingine mbali na Kiingereza nyumbani?



Yes
No [GO TO Q4]
Prefer not to answer [GO TO Q4]



Ndio
La [ENDA KWA SWALI LA 4]
Sitaki kujibu [ENDA KWA SWALI LA 4]


Q3

What is this language? [Specific languages will vary by country of origin].


SWALI LA 3

Je, lugha hii ni gani? [lugha maalum zitatofautiana na taifa asili]


Q4

What language(s) do you speak most often with your closest friends? [INTERVIEWER NOTE: Allow for two languages to be given]


SWALI LA 4

Je, ni lugha gani unazungumza sana na marafiki wako wa karibu? [MTAFITI Ruhusu lugha mbili]


Q5

If you think of yourself as belonging to a particular ethnic group or tribe, what would that be?


SWALI LA 5

Iwapo unajifikiria kuwa wa kikundi fulani au kabila, je, litakuwa lipi?



Don’t Know
Prefer not to answer



Sijui
Sitaki kujibu

Skip logic


[SKIP LOGIC: IF RESPONDENT WAS BORN IN THE U.S. (SCREENER Q4), GO TO Q8]

Ruka mantiki


[SKIP LOGIC IWAPO ANAYEULIZWA ALIZALIWA MAREKANI (SWALI 4), ENDA KWA SWALI LA 8


Q6

In what year did you first move to the United States?


SWALI LA 6

Je, ni mwaka upi ulihamia Marekani mara ya kwanza?



• Within the last year
• 1-5 years ago
• 6-10 years ago
• Over 10 years ago
• Don’t Know
• Prefer not to answer



• Mwakani
• Kati ya miaka 1-5 iliyopita
• Kati ya miaka 6-10 iliyopita
• Zaidi ya miaka10 iliyopita
• Sijui
• Sitaki kujibu


Q7

Since moving to the United States, how many times have you traveled home? “Home country” is the country where you were born or where you lived most of the time before coming to the U.S.


SWALI LA 7

Tangu kuhamia Marekani, ni mara ngapi umesafiri nyumbani? "Taifa asili" ni nchi ambayo ulizaliwa au ulikoishi kwa muda mrefu kabla ya kuja Marekani.



• Never
• Once
• 2-3 times
• Four or more times
• Don’t know
• Prefer not to answer



• Sijawahi
• Mara moja
• Mara 2-3
• Mara nne au zaidi
• Sijui
• Sitaki kujibu



GO TO Q9



ENDA KWA SWALI LA 9


Q8

How many times have you traveled outside the U.S.?


SWALI LA 8

Je, ni mara ngapi umesafiri nje ya Marekani?



• Never
• Once
• 2-3 times
• Four or more times
• Don’t know
• Prefer not to answer



• Sijawahi
• Mara moja
• Mara 2-3
• Mara nne au zaidi
• Sijui
• Ningependelea kutojibu


Q9

In what country does your mother live now?


SWALI LA 9

Je, mamako anaishi katika nchi ipi kwa sasa?



• Mother passed away [GO TO Q11]
• Don’t Know [GO TO Q11]
• Prefer not to answer [GO TO Q11]



• Mamangu aliaga dunia [ENDA KWA SWALI LA 11]
• Sijui [ENDA KWA SWALI LA 11]
• Ningependelea kutojibu [ENDA KWA SWALI LA 11]


Q10

How often do you speak with your mother?


SWALI LA 10

Je, ni mara ngapi unazungumza na mamako?



• Daily
• 2-3 times a week
• Once a week
• Once/twice a month
• Less than once a month
• Never
• Don’t Know
• Prefer not to answer



• Kila Siku
• Mara 2-3 kwa wiki
• Mara moja kwa wiki
• Mara moja/mbili kwa mwezi
• Chini ya mara moja kwa mwezi
• Hua sizungumzi naye
• Sijui
• Ningependelea kutojibu

SECTION C. MARRIAGE AND HOUSEHOLD


SEHEMU B. NDOA NA NYUMBANI


intro


Next, I am going to ask you questions about your marital status and living arrangements.

dibaji


Baada ya hapo, Nitakuuliza maswali kuhusu hali yako ya ndoa na mipango ya kuishi.


Q11

Including yourself, how many people live in your household now? Please count children and elders. Do NOT count visitors. A visitor is someone staying in the home for less than one month.


SWALI LA 11

Ukijihesabu, ni watu wangapi wanaishi kwako kwa sasa? Tafadhali hesabu watoto na wazee. Usihesabu wageni. Mgeni ni mtu anayeishi nyumbani kwa chini ya mwezi moja.



• Don’t Know
• Prefer not to answer



• Sijui
• Ningependelea kutojibu


Q12

Which of the following describes your current marital status? Are you married, living with a partner, widowed, divorced, separated, or have you never been married?


SWALI LA 12

Je, ni gani kati yafuatayo ambayo inaelezea hali yako ya sasa ya ndoa? Je, umeolewa, unaishi na mchumba, umefiwa, umepewa talaka, au hujawahi kuolewa?



• Married
• Not married, but living with a partner
[GO TO Q16]
• Widowed
• Divorced
• Separated
• Never married [GO TO Q16]
• Prefer not to answer [GO TO Q16]



• Nimeolewa
• Sijaolewa, lakini ninaishi na mchumba
[ENDA KWA SWALI LA 16]
• Nimefiwa
• Nimepewa talaka
• Tumetengana
• Sijawahi kuolewa [ENDA KWA SWALI LA 16]
• Ningependelea kutojibu [ENDA KWA SWALI LA 16]


Q13

How old were you when you first got married?


SWALI LA 13

Je, ulikuwa na miaka ngapi ulipoolewa mara ya kwanza?



• Under 18 years
• 18-24 years
• 25-29 years
• 30-39 years
• 40-49 years
• Over 49 years
• Don’t Know
• Prefer not to answer



• Chini ya miaka 18
• Kati ya miaka 18-24
• Kati ya miaka 25-29
• Kati ya miaka 30-39
• Kati ya miaka 40-49
• Zaidi ya miaka 49
• Sijui
• Ningependelea kutojibu


Q14

How old was your husband when you first got married?


SWALI LA 14

Je, bwanako alikuwa na miaka ngapi ulipoolewa mara ya kwanza?



• Under 18 years
• 18-24 years
• 25-29 years
• 30-39 years
• 40-49 years
• Over 49 years
• Don’t Know
• Prefer not to answer



• Chini ya miaka 18
• Kati ya miaka 18-24
• Kati ya miaka 25-29
• Kati ya miaka 30-39
• Kati ya miaka 40-49
• Zaidi ya miaka 49
• Sijui
• Ningependelea kutojibu


Q15

In what country did your first marriage take place?


SWALI LA 15

Je, ni katika nchi ipi ambamo harusi yako ya kwanza ilifanyika?







SECTION D. EFFECTS ON MIGRATION


SEHEMU D. MADHARA YA UHAMIAJI


intro


I am now going to ask you some questions about your participation in community activities such as neighborhood organizations or groups.

dibaji


Sasa nitakuuliza maswali kuhusu kushiriki kwako katika shughuli za jamii kama vile mipangilio ya mtaa au makundi.


Q16

Are you a member of any club or association for people from your family’s home country or ethnic/cultural background?


SWALI LA 16

Je, wewe ni mshiriki wa chama chochote au kundi la watu kutoka kwa nchi asili ya familia yako au kabila/historia ya tamaduni?



• Yes
• No
• Not sure
• Prefer not to answer



• Ndio
• La
• Sina uhakika
• Ningependelea kutojibu


Q17

When you invite people to your home, are they usually people from your family’s home country or ethnic/cultural background, or with people who are NOT from your family’s home country or ethnic/cultural background?


SWALI LA 17

Je, unapowaalika watu kwako, huwa ni watu kutoka kwa nchi asili ya familia yako au kabila/historia ya tamaduni, au ni watu ambao SI wa kutoka kwa nchi asili ya familia yako au kabila/historia ya tamaduni?



• Mostly people from my home country or ethnic/cultural background
• Mostly people NOT from my home country or ethnic/cultural background
• A combination
• I never invite people to my place
• Prefer not to answer



• Sana ni watu kutoka kwa nchi asili ya familia yako au kabila/historia ya tamaduni
• Sana SI watu kutoka kwa nchi asili yako au kabila/historia ya tamaduni
• Ni mchanganyiko
• Huwa sikaribishi watu kwangu
• Ningependelea kutojibu


Q18

Have you done any work outside of the home for pay in the past 30 days?


SWALI LA 18

Je, umefanya kazi yoyote nje ya nyumbani kwa malipo katika siku 30 zilizopita?







SECTION E. HEALTH-SEEKING BEHAVIOR AND PROVIDER EXPERIENCE

SEHEMU E. TABIA ZA KUTAFUTA MATIBABU NA UZOEFU WA MHUDUMU



Now I am going to ask you some questions about your overall health and experiences with health care, services, and providers.



Sasa nitakuuliza maswali kuhusu afya yako na uzoefu wako na huduma za afya, na wahudumu


Q19

In general, how would you describe your health? Is it excellent, very good, good, fair, or poor?


SWALI LA 19

Kwa jumla, unawezaje elezea hali yako ya afya? Ni bora, nzuri sana, nzuri, sawa, au hafifu?



• Excellent
• Very good
• Good
• Fair
• Poor
• Not sure
• Prefer not to answer



• Bora
• Nzuri sana
• Nzuri
• Sawa
• Hafifu
• Sina uhakika
• Ningependelea kutojibu


Q20

How many times have you gone to a clinic or hospital for health care for yourself in the past 12 months?


SWALI LA 20

Je, ni mara ngapi umeenda katika kliniki au hospitali kwa huduma za afya katika miezi 12 iliyopita?



• Not at all
• Once
• Twice
• 3-5 times
• More than 5 times
• Don’t Know
• Prefer not to answer



• Sijaenda kabisa
• Mara moja
• Mara mbili
• Mara 3-5
• Zaidi ya mara 5
• Sijui
• Ningependelea kutojibu


Q21

When visiting your doctor, would you like to have an interpreter present?


SWALI LA 21

Unapomtembelea daktari, je, ungependa kuwa na tafsiri hapo?



• Yes
• No [GO TO Q24]
• Do not have a doctor [GO TO Q24]
• Don’t Know [GO TO Q24]
• Prefer not to answer [GO TO Q24]



• Ndio
• La [ENDA KWA SWALI LA 24]
• Sina daktari [ENDA KWA SWALI LA 24]
• Sijui [ENDA KWA SWALI LA 24]
• Ningependelea kutojibu [ENDA KWA SWALI LA 24]


Q22

During your last visit, was an interpreter offered to you?


SWALI LA 22

Katika ziara yako ya mwisho, je, ulipewa tafsiri?


Q23

Who usually serves as an interpreter for you?


SWALI LA 23

Je, ni nani huwa anatoa huduma za kutafsiri kwako?



• My health provider
• Professional interpreter
• A staff person
• A friend or relative
• My husband or other male relative
• Other, please specify:



• Mhudumu wangu wa afya
• Mtaalamu wa kutafsiri
• Mmoja wa wafanyakazi
• Rafiki au jamaa
• Bwanangu au jamaa wa kiume
• Nyingine, tafadhali fafanua


Q24

Are you currently covered by any of the following types of health insurance?


SWALI LA 24

Je, kwa sasa yoyote kati ya bima zifuatazo za afya?



• A plan purchased through an employer or union (includes plans purchased through another person’s employer)
• A plan that you or a family member buys on their own
• Medicaid or other state or federal program
• Some other source, please specify:



• Mpango ulionunuliwa kupitia mwajiri au chama (inajumuisha mipango mingine iliyonunuliwa kupitia mwajiri wa mtu mwingine)
• Mpango ambao wewe au mtu katika familia yako hununua kibinafsi
• Medicaid au mpango mwingine wa taifa au mkoa
• Asili nyingine, tafadhali fafanua:



• I do not currently have health insurance



• Sina bima ya afya kwa sasa


Q25

During the past 12 months, was there any time when you needed medical care but didn't get it because you couldn't afford it?


SWALI LA 25

Katika miezi 12 iliyopita, je, kulikuwa na wakati ambapo ulihitaji huduma za afya lakini hukupata kwa kuwa hukuwa na pesa?







SECTION F. WOMEN’S HEALTH AND PREGNANCY OUTCOMES

SEHEMU F. AFYA YA WANAWAKE NA MATOKEO YA UJA UZITO



I am now going to ask you questions about family planning and your sexual health.



Sasa nitakuuliza maswali kuhusu kupanga uzazi na afya yako ya jinsia


Q26

Have you ever used any contraceptives or birth control methods to avoid or delay getting pregnant?


SWALI LA 26

Je, umewahi kutumia njia zozote za kupanga uzazi ili kuzuia kupata mimba?


Q27

Which method(s) have you used? Have you ever used…? Have you used this method in the past 30 days?


SWALI LA 27

Je, ni mipango gani umetumia? Je, umewahi kutumia...? Je, umetumia mpango huu katika siku 30 zilizopita?



Ever Used?



Umewahi kutumia?



Used in past 30 days?



Kutumia katika siku 30 zilizopita?



Female sterilization (tubes tied)



Mbinu za kutasisha kike (kufunga mrija)



Male sterilization



Kutasisha kiume



Contraceptive implant (Nexplanon, Jadelle, Sino, Implant, Implanon)



Kupanga uzazi kwa kupachikwa (Nexplanon, Jadelle, Sino, Implant, Implanon)



IUD (for example, Paragard, Mirena, Skyla, Liletta)



IUD (kama vile, Paragard, Mirena, Skyla, Liletta)



Shots/Injections (for example, Depo-Provera)



Sindano (Kama vile Depo-Provera)



Birth control pills (daily pills, any kind)



Tembe za kupanga uzazi (tembe za kila siku, za aina yoyote)



Contraceptive patch (Ortho Evra, Xulane)



Kupanga uzazi kutumia pachiko la ngozi (Ortho Evra, Xulane)



Contraceptive ring (NuvaRing)



Pete ya kupanga uzazi (Nuvaring)



Male condoms



Kondomu za kiume



Diaphragm



Kiwambo



Female condoms



Kondomu za kike



Foam, jelly, or cream



Povu, jelly, krimu



Emergency contraception (morning after pill)



Kupanga uzazi kwa dharura (tembe ya kumeza asubuhi)



Not having sex at certain times (rhythm or natural family planning)



Kutoshiriki katika ngono wakati mwingine (mahadi au kupanga uzazi kwa asili)



Withdrawal (pulling out)



Kujiondoa (kuchomoa)



Other, please specify:



Nyingine, tafadhali fafanua


Q28

In the past 12 months, have you had trouble getting the contraceptives or birth control methods you wanted for any reason?


SWALI LA 28

Je, katika miezi 12 iliyopita, umekuwa na shida ya kupata mpango wa kupanga uzazi ulioataka kwa sababu yoyote?



• Yes
• No [GO TO Q30]
• I did not need a birth control method
[GO TO Q30]
• Don’t Know [GO TO Q30]
• Prefer not to answer [GO TO Q30]



• Ndio
• La [ENDA KWA SWALI LA 30]
• Sikuhitaji mbinu ya kupanga uzazi
[ENDA KWA SWALI LA 30]
• Sijui [ENDA KWA SWALI LA 30]
• Ningependelea kutojibu [ENDA KWA SWALI LA 30]


Q29

Why did you have trouble getting the birth control method that you wanted?


SWALI LA 29

Mbona ulikuwa na shida kupata mpango wa kupanga uzazi uliotaka?


Q30

When was your last pelvic exam and/or pap smear?


SWALI LA 30

Je, ni lini ulichunguzwa sehemu za siri mara ya mwisho?



• Within past year
• 2-3 years ago
• 3 to 5 years ago
• More than 5 years ago
• Never
• Don’t Know
• Prefer not to answer



• Katika mwaka mmoja uliopita?
• Miaka 2 hadi 3 iliyopita
• Miaka 3 hadi 5 iliyopita
• Zaidi ya miaka 5 iliyopita
• Sijawahi
• Sijui
• Ningependelea kutojibu


Q31

How old were you when you had sexual intercourse for the first time?
[READ IF NECESSARY: Do not count oral sex, anal sex, heavy petting, or other forms of sexual activity that do not involve vaginal penetration. Do not count sex with a female partner].


SWALI LA 31

Je, ulikuwa na umri gani uliposhiriki ngono mara ya kwanza?
[SOMA IWAPO INAHITAJIKA: Usihesabu ngono ya mdomo, mkundu, kugusana sana au aina zingine za kushiriki ngono ambazo hazina kuingiwa uke Usihesabu ngono na mpenzi wa kike].



• Under 18 years
• 18-24
• 25-29 years
• 30-39 years
• 40-49 years
• Over 49 years
• Never had sexual intercourse
[GO TO Q39]
• Prefer not to answer



• Chini ya miaka 18
• Miaka 18-24
• Miaka 25-29
• Miaka 30-39
• Miaka 40-49
• Zaidi ya miaka 49
• Sijawahi kushiriki katika tendo la ngono
[ENDA KWA SWALI LA 39]
• Ningependelea kutojibu







SECTION G. WOMEN’S HEALTH AND PREGNANCY OUTCOMES

SEHEMU G. AFYA YA WANAWAKE NA MATOKEO YA UJA UZITO



To finish up our questions about health and health care, we have a few questions for you about pregnancy and prenatal care.



Kwa kumalizia maswali yetu kuhusu afya na huduma za afya, tuna maswali kwako kuhusu ujauzito na huduma kabla ya kujifungua


Q32

Are you pregnant now?


SWALI LA 32

Je, wewe ni mja mzito sasa hivi?



• Yes
• No [GO TO Q34]
• Don’t Know [GO TO Q34]
• Prefer not to answer [GO TO Q34]



• Ndio
• La [ENDA KWA SWALI LA 34]
• Sijui [ENDA KWA SWALI LA 34]
• Ningependelea kutojibu [ENDA KWA SWALI LA 34]


Q33

Have you had prenatal care for this pregnancy?


SWALI LA 33

Je, umekuwa na huduma za kabla ya kujifungua kwa uja uzito huu?



Now we have some questions about your children.



Sasa tuna maswali kuhusu watoto wako.


Q34

How many children have you had that were born alive?


SWALI LA 34

Je, una watoto wangapi ambao walizaliwa hai?



Now I will ask a few questions about each child you had beginning with the oldest one.



Sasa nitakuuliza maswali kadhaa kuhusu kila mtoto umekuwa naye kuanzia na yule mkubwa.



Child



Mtoto



1
2
3
4
5
6
7



1
2
3
4
5
6
7


Q35

In what month and year was this child born?


SWALI LA 35

Je, mtoto huyu alizaliwa mwezi na mwaka gani?



Month:
Year:



Mwezi:
Mwaka:


Q36

Is this child still alive?


SWALI LA 36

Je, mtoto huyu bado yuko hai?



Yes
No
Prefer not to answer



Ndio
La
Ningependelea kutojibu


Q37

Was this child born in the U.S.?


SWALI LA 37

Je, mtoto huyu alizaliwa Marekani?



Yes
No [GO TO 39]
Prefer not to answer



Ndio
La [ENDA KWA SWALI LA 39]
Ningependelea kutojibu


Q38

How many weeks (or months) pregnant were you at the time of your first prenatal care visit?


SWALI LA 38

Je, ulikuwa na wiki (au miezi) ngapi wakati ambapo ulienda kwa huduma yako ya kwanza ya kabla ya kujifungua?



Weeks
Months
No Prenatal Care
Don’t Know
Prefer not to answer



Wiki
Miezi
Sikupata huduma za kabla ya kujifungua
Sijui
Ningependelea kutojibu


Q39

Was this baby delivered by caesarean section (c-section)?


SWALI LA 39

Je, mtoto huyu alizaliwa kwa njia ya operesheni?







SECTION H. FGM/C



SECTION H. TOHARA KWA WANAWAKE


intro


In a number of countries, there is a practice called circumcision in which a girl or young woman may have part of her genitals cut. Now I would like to ask you some questions about your knowledge and experiences with female circumcision.

dibaji


Katika nchi fulani, kuna desturi inayoitwa tohara ambapo msichana au mwanamke mchanga hukatwa baadhi ya sehemu zake za siri. Sasa ningependa kukuuliza maswali kuhusu maarifa na uzoefu wako na tohara kwa wasichana.


Q40

Do you come from a family that has practiced the tradition of female circumcision?


SWALI LA 40

Je, unatoka katika familia ambamo tamaduni ya tohara kwa wasichana?


Q41

Does your husband come from a family that has practiced the tradition of female circumcision?


SWALI LA 41

Je, mume wako anatoka katika familia ambamo tamaduni ya tohara kwa wasichana?


Q42

Have you ever been circumcised?


SWALI LA 42

Je, umewahi kupashwa tohara?



• Yes
• No [GO TO Q53]
• Don’t Know [GO TO Q53]
• Prefer not to answer [GO TO Q53]



• Ndio
• La [ENDA KWA SWALI LA 53]
• Sijui [ENDA KWA SWALI LA 53]
• Ningependelea kutojibu [ENDA KWA SWALI LA 53]


Q43

What kind of circumcision do you have?


SWALI LA 43

Je, una aina gani ya tohara?


Q44

How old were you when you were first circumcised?


SWALI LA 44

Je, ulikuwa na umri gani wakati ambapo ulipashwa tohara mara ya kwanza?



• Less than 1 year old
• 1-4 years old
• 5-9 years old
• 10-14 years old
• 15-19 years old
• More than 19 years old
• Don’t Know
• Prefer not to answer



• Chini ya mwaka 1
• Umri wa mwaka 1-4
• Umri wa miaka 5-9
• Umri wa miaka 10-14
• Umri wa miaka 15-19
• Zaidi ya miaka 19
• Sijui
• Ningependelea kutojibu


Q45

Now I would like to ask you some more questions about your circumcision. Was any flesh removed from the genital area?


SWALI LA 45

Sasa ningependa kukuuliza maswali zaidi kuhusu tohara yako Je, kuna nyama yoyote iliyotolewa kutoka sehemu yako ya siri?



• Yes [GO TO Q47]
• No
• Don’t Know
• Prefer not to answer



• Ndio [ENDA KWA SWALI LA 47]
• La
• Sijui
• Ningependelea kutojibu


Q46

Was the genital area nicked without removing any flesh?


SWALI LA 46

Je, sehemu ya siri ilichanjwa bila kutolewa nyama yoyote?


Q47

Was your genital area sewn closed?


SWALI LA 47

Je, sehemu yako ya siri ilishonwa ikafungwa?


Q48

Have you ever had any health problems related to your circumcision?


SWALI LA 48

Je, umewahi kuwa na shida zozote za kiafya zinazohusiana na tohara yako?



• Yes
• No [GO TO Q50]
• Don’t Know [GO TO Q50]
• Prefer not to answer [GO TO Q50]



• Ndio
• La [ENDA KWA SWALI LA 50]
• Sijui [ENDA KWA SWALI LA 50]
• Ningependelea kutojibu [ENDA KWA SWALI LA 50]


Q49

Please specify what health problems occurred.


SWALI LA 49

Tafadhali bayaniha shida ya afya iliyotokea.


Q50

Would you feel comfortable discussing your circumcision with a health care provider?


SWALI LA 50

Je, unawezajihisi huru kuzungumzia tohara yako na mhudumu wa afya?


Q51

Have you ever talked with a health care provider about your circumcision?


SWALI LA 51

Je, umewahi kuzungumzia tohara yako na mhudumu wa afya?



• Yes
• No [GO TO Q53]
• Don’t Know [GO TO Q53]
• Prefer not to answer [GO TO Q53]



• Ndio
• La [ENDA KWA SWALI LA 53]
• Sijui [ENDA KWA SWALI LA 53]
• Ningependelea kutojibu [ENDA KWA SWALI LA 53]


Q52

Who started the conversation about your circumcision, you or the health care provider?


SWALI LA 52

Je, ni nani alianzisha mazungumzo kuhusu tohara yako?



• You
• Your health care provider
• Don’t Know
• Prefer not to answer



• Wewe
• Mhudumu wako wa afya
• Sijui
• Ningependelea kutojibu



Have you ever experienced any of these health issues or conditions?



Je, umewahi kupata yoyote kati ya shida au hali zifuatazo za kiafya?


Q53

Have you ever had a/an. . .?


SWALI LA 53

Je, umewahi kuwa na...?



Emergency C-section



Operesheni ya dharura ya kujifungua



Postpartum hemorrhage



Kuvuja damu nyingi baada ya kujifungua



Extensive vaginal tears from childbirth



Kupasuka sana katika sehemu za siri wakati wa kujifungua



Pain with intercourse



Uchungu wakati wa ngono



Bleeding with intercourse



Kuvuja damu katika ngono



Difficulty passing menstrual blood



Shida kupitisha hedhi



Difficulty passing urine



Shida kupitisha mkojo



Pain with urination



Uchungu wakati wa kukojoa



Recurrent Urinary Tract Infections



Maambukizo ya njia ya mkojo yanayojirudia



Feeling sad for many weeks at a time



Kuhisi huzuni kwa wiki nyingi kwa wakati









yes



ndio








Q54

[if YES] Did you seek professional health care for this?


SWALI LA 54

[iwapo NDIO] Je, ulitafuta huduma za matibabu kwa hili?



Yes
No
Not treatable by a doctor



Ndio
La
Haiwezi kutibiwa na daktari


Q55

[if YES] Were you satisfied with how the problem was addressed?


SWALI LA 55

[iwapo NDIO] Je, ulitosheka na jinsi shida hiyo ilishughulikiwa?


Q56

Is this an ongoing problem?


SWALI LA 56

Je, hii ni shida inayoendelea?









<REFER TO RESOURCE HANDOUT TO RESPONDENT FOR COUNSELING AND SUPPORT GROUPS>



<REJELEA KITABU CHA RASILIMALI KWA MHOJIWA KWA MAKUNDI YA USHAURI NA MSAADA

SECTION I. FGC BELIEFS



SEHEMU I. IMANI KUHUSU TOHARA KWA WANAWAKE



I am now going to ask you some questions about your beliefs and opinions about female circumcision.



Sasa nitakuuliza maswali kuhusu imani na maono yako kuhusu tohara kwa wasichana








Q57

In your opinion, can female circumcision cause any health problems for women later on (for example during pregnancy and delivery)?


SWALI LA 57

Kwa maoni yako, je, tohara kwa wasichana inawezasababisha shida za kiafya baadaye kwa mfano wakati wa uja uzito na kujifungua)?


Q58

What are your husband’s views about female circumcision? Do you think he would say. . .


SWALI LA 58

Je, bwanako ana maoni gani kuhusu tohara kwa wasichana? Je, unadhani angesema...



¨ It should be stopped



"Inafaa kukomeshwa



¨ It should continue as is



"Inafaa kuendelea ilivyo



¨ Depends on the family



"Inategemea na familia



¨ I have mixed feelings about it



"Nina maoni iliyochanganyika



¨ Other, please specify:



"Nyingine, tafadhali fafanua:


Q59

Which of the following best describes your views about female circumcision? Would you say…


SWALI LA 59

Ni gani kati yafuatayo inaelezea maoni yako kuhusu tohara kwa wasichana? Je, unawezasema...


Q60

Do you believe that female circumcision is required by your religion?


SWALI LA 60

Je, unaamini kuwa tohara kwa wasichana inahitajika na dini?



• Yes
• No
• No Religion
• Don’t Know
• Prefer not to answer



• Ndio
• La
• Hakuna Dini
• Sijui
• Ningependelea kutojibu


Q61

Has your opinion about female circumcision changed in any way since you moved to the U.S.?


SWALI LA 61

Je, maoni yako yamebadilika katika njia yoyote tangu uhamie Marekani?



• Yes
• No [GO TO Q63]
• Not applicable, did not have opinion before moving to U.S. [GO TO Q63]
• Don’t Know [GO TO Q63]
• Prefer not to answer [GO TO Q63]



• Ndio
• La [ENDA KWA SWALI LA 63]
• Haihusiki, sikuwa na maoni kabla ya kuhamia Marekani [ENDA KWA SWALI LA 63]
• Sijui [ENDA KWA SWALI LA 63]
• Ningependelea kutojibu [ENDA KWA SWALI LA 63]


Q62

How has your opinion changed?


SWALI LA 62

Je, ni kwa jinsi gani maoni yako yamebadilika?



Probe: Would you say your opinion is:
• More accepting of female circumcision
• Less accepting of female circumcision
• Don’t Know
• Prefer not to answer



Maswali: Je, unawezasema kuwa maoni yako ni:
• Inakubalia tohara kwa wasichana
• Haikubalii tohara kwa wasichana
• Sijui
• Ningependelea kutojibu

SECTION J. EDUCATION



SEHEMU J. ELIMU




Q63

What is the highest level of schooling you have completed?


SWALI LA 63

Je, umekamilisha masomo hadi kiwango kipi?



• No formal school
• Less than a high school diploma
• High school diploma or GED
• Some college credit, no degree
• Associate’s degree (for example: AA, AS)
• Bachelor’s degree or higher (for example: BA, BS, MA, MS, MD, PhD, etc)
• Don’t Know
• Prefer not to answer



• Sijahudhuria shule rasmi
• Chini ya shahada ya shule ya upili
• Shahada ya shule ya upili au GED
• Kozi ya chuo, bila digrii
• Digrii ya mshirika (kwa mfano: AA, AS)
• Digrii au zaidi (kwa mfano: BA, BS, MA, MD, PhD, n.k.)
• Sijui
• Ningependelea kutojibu


Q64

Have you ever attended school in the U.S.?


SWALI LA 64

Je, umehudhuria shule Marekani?



• Yes
• No [END OF SURVEY]
• Prefer not to answer



• Ndio
• La [MWISHO WA UTAFITI]
• Ningependelea kutojibu


Q65

Are you attending school now?


SWALI LA 65

Je, unahudhuria shule kwa sasa?







STUDY INVITE CARD



KADI YA MWALIKO KWA UTAFITI




Congratulations! The person who gave you this card thinks you would be a good fit for our study.



Pongezi! Aliyekupa kadi hii anafirkiri utakuwa wa manufaa kwa utafiti wetu.



INTERESTED IN BEING PART OF THE WOMEN’S HEALTH NEEDS STUDY?
• Please contact (NAME) for more information.



JE, UNGEPENDA KUWA SEHEMU YA UTAFITI WA MAHITAJI YA AFYA YA WANAWAKE?
• Tafadhali wasiliana na (JINA) kwa habari zaidi.



Call: or email: [email protected]



Piga simu: au barua pepe: [email protected]







INFORMED CONSENT



RUHUSA KWA KUJUA



Women’s Health Needs Study Informed Consent to be a Research Participant



Ruhusa ili kuwa Mshiriki wa Utafiti wa Mahitaji ya Afya ya Wanawake





My name is _______________and I am working with NORC and the Centers for Disease Control and Prevention on this study.



Jina langu ni ________________ na ninafanya kazi na NORC na Senta za Kuthibiti na Kuzuia Magonjwa katika utafiti huu.



Why we are doing this study? We are trying to find out about the health care needs of women age 18 to 49 years in your community. We plan on interviewing about 100 women for this study.



Mbona tunafanya utafiti huu? Tunajaribu kujua kuhusu mahitaji ya huduma za matibabu ya wanawake kati ya miaka 18 hadi 49 katika jamii yako. Tunapanga kuhoji kadri ya wanawake 100 kwa utafiti huu.



Who is funding this study? This study is funded by the Centers for Disease Control and Prevention.



Je, ni nani anatoa rasilimali za utafiti huu? Utafiti huu unapata rasilimali kutoka kwa Senta za Kuthibiti na Kuzuia Magonjwa.



What would I be asked to do if I am in this study?



Je, ni nini nitaulizwa nifanye iwapo nipo kwenye utafiti huu?



The interview will take you about 45 minutes.



Mahojiano yatachukua kadri ya dakika 45.



We will read you the questions in your preferred language.



Tutasoma maswali yako katika lugha unayopendelea.



We will be asking you some questions to see if you are eligible to be in the study.



Tutakuwa tunakuuliza maswali kuona iwapo unafaa kuwa katika utafiti.



These will be about things like where you and your family are from, what languages you speak, and if you have lived in certain countries.



Haya yatakuwa kuhusu vitu kama vile familia yako inatoka wapi, lugha unazozungmza, na iwapo umeishi katika mataifa fulani.



If you are eligible, give consent, and then choose to enroll in the study, then we will be asking you questions such as how long you have been in the US, if you have had a medical exam, your childbirth experiences, and what you and your family thinks about female circumcision and your experiences with female circumcision.



Iwapo unafaa, peana ruhusa, kisha uchague kushiriki katika utafiti, halafu tutakuuliza maswali kama vile muda ambao umekuwa Marekani, iwapo umekuwa na uchunguzi wa kiafya, uzoefu wako kuhusu kujifungua, na ni nini wewe na familia yako inafikiria kuhusu tohara kwa wasichana na uzoefu wako na tohara kwa wasichana.



Some of the study questions may make you feel uncomfortable. You can skip any question. Your answers are completely private and only results from the whole group of women will be included in any report.



Baadhi ya maswali ya utafiti yanaweza kufanya uhisi kuwa una uzito. Unaweza ruka swali lolote Majbu yako ni ya siri na ni matokeo kutoka kwa kikundi kizima cha wanawake yatajumuishwa katika ripoti yoyote.



How long will it take for me to participate in this study? For this study you will do one interview that will take about 45 minutes to complete. This will end your time in the study.



Je, itanichukua muda upi ili kushiriki katika utafiti huu? Kwa utafiti huu utafanya mahojiano ambayo itachukua kadri ya dakika 45 ili kukamilisha. Hii itakamilisha wakati wako katika utafiti.



Are there any risks for me if I decide to participate? The risks to participating in this research are minimal. However, some of the questions are personal and might make you uncomfortable. You are free to skip or not answer any questions. You can stop at any time. I have community resources available for you if you need help finding support or services in your community.



Je, kuna hatari yoyote iwapo nitaamua kushiriki? Hatari za kushiriki katika utafiti huu ni chache. Hata hivyo, baadhi ya maswali ni ya binafsi na yanaweza kufanya uwe na uzito. Una uhuru wa kuruka mawali yoyote. Unaweza kuacha wakati wowote. Nina rasilimali za jamii ambazo unaweza kutumia iwapo unahitaji usaidizi au huduma katika jamii yako.



If you choose to do the survey whether you complete the survey or not, you will not lose access to any services that you would otherwise be eligible for. Your answers will be kept private to the extent allowed by law and will be used only for research. The study has a Certificate of Confidentiality, so no one outside the study, even an official of the court, the government or law, can request your information. However, if interviewers and other study staff learn of plans to have your minor daughter circumcised they may be legally obligated to report this as child abuse to state or local authorities The study does not ask you about circumcision in your daughter.



Iwapo utachagua kufanya utafiti, kama utakamilisha au la, hutapoteza ufikiv wa huduma zozote ambazo ungepata. Majibu yako yatawekwa kuwa ya siri hadi kadri ambayo inaruhusiwa na sheria na itatumiwa tu katika utafiti. Utafiti una Cheti cha Usiri, kwa hivyo hakuna ambaye yuko nje ya utafiti, hata afisa wa koti, serikali au sheria, anayeweza kuitisha habari zako. Hata hivyo, iwapo wahoji na wafanyakazi wengine wa utafiti watajua kuhusu mipango ya kumtahiri binti yako, watakuwa na wajibu wa kisheria kuripoti hili kama kumdhulumu mtoto kwa mamlaka ya nchi au mkoa. Utafiti hauulizi kuhusu kumtahiri binti yako.



Employees of CDC, or experts and contractors working for CDC, may review information sent through computer networks to assess security. We will not collect your name or other information that identifies you during this interview. When results from this research are presented, we will not include any information that might be used to figure out who you are.



Wafanyakazi wa CDC, au wataalamu na kontrakta wanaofanyia CDC kazi, wanaweza kuona habari ambazo zimetumwa kupitia mitandao ya tarakilishi ili kukadiri usalama. Hatutachukua jina lako au habari nyingine ambazo zinakutabulisha katika mahojiano haya. Wakati matokeo yatatolewa, hatutajumuisha habari zozote ambazo zinawezatumiwa kukutambua.



Are there any benefits for me if I decide to participate? There is no direct benefit to you for participating in the study. We believe the answers you provide will help us better understand the health care needs of women in your community.



Je, kuna manufaa yoyote iwapo nitaamua kushiriki? Hakuna manufaa yoyote yanayoonekana kwako unaposhiriki katika utafiti. Tunaaminai majibu utakayotoa yatatusaidia tuelewe mahitaji ya huduma za afya za wanawake katika jamii yako.



Payment for participation: If you agree to be in this study we will give you $20 for your travel and/or child care expenses. In addition, if you recruit another women to be in this study, we will give you $5 for cell phone calls and/or transportation. You may recruit up to 3 women and receive $5 for each woman you recruit. You may need to contact these 3 women with our study invitation card. You will be able to receive a total of $35 reimbursement for expenses you may need to participate in the study and for recruiting up to three women.



Malipo kwa kushiriki Iwapo utakubali kushiriki katika utafiti huu, tutakupa $20 kwa ajili ya kusafiri na/au gharama za kutunza mtoto wako. Vilevile, iwapo utasajili wanawake wengine kuwa katika utafiti huu, tutakupa $5 kwa kupiga simu na/au kusafiri. Unaweza kuita hadi wanawake 3 na utapokea $5 kwa kila mwanamke utakayesajili. Unawezahitaji kuwasiliana na wanawake hawa 3 kutumia kadi yetu ya mwaliko wa utafiti. Utaweza kupokea hadi $35 kwa gharama ambazo utapata ili uweze kushiriki katika utafiti na kwa kusajili hadi wanawake watatu.



A unique passcode will let us know which women you helped recruit so that we can reimburse you. Your name will not be collected at any time during this study.



Kuna kodi maalum ambayo utatujulisha ni wanawake wepi ambao ulitusaidia kusajili ili tukulipe. Jina lako halitachukuliwa wakati wowote katika utafiti huu.



Do I have to be in this study? No you do not. If you choose to be in this study, you can stop at any time and you are also free to skip or not answer any questions.



Je, ni lazima niwe katika utafiti huu? La si lazima Iwapo utachagua kuwa katika utafiti huu, unaweza wacha wakati wowote na pia jihisi huru kuruka na kutojibu maswali yoyote.



What happens if I would like to stop this interview? If you start the interview and decide to stop, that is perfectly OK. You will still receive the $20 for your travel and/or any child care expenses you may have during this interview.



Ni nini itafanyika iwapo nitataka kuwacha utafiti huu? Iwapo utaanza na uamue kuwacha, hiyo ni sawa kabisa. Bado utapokea $20 kwa usafiri wako na gharama zozote za mtoto utakazopata wakati wa mahojiano haya.



We will be able to keep and use the information you have shared up until that point. If you do not want your responses to be included, let us know and we will destroy your information.



Tutaweza kuweka na kutumia habari ambayo umetoa hadi ulipowachia. Iwapo hungependa majibu yako yatumiwe, tujulishe na tutaharibu habari zako.



Right to Ask Questions: Please contact Field Coordinator at (XX) with questions, complaints or concerns about this research. If you have any questions or concerns about your rights as a research participant, please contact the NORC IRB Manager by toll-free phone number at (866) 309-0542. An Institutional Review Board (IRB) operates under Federal regulations and they review research involving human subjects to ensure the ethical, safe, and equitable treatment of study participants.



Uhuru wa Kuuliza Maswali Tafadhali wasiliana na mratibu wa kiwanja kupitia (XX) na maswali, malalamishi au shaka kuhusu utafiti huu. Iwapo una maswali yoyote au shaka kuhusu uhuru wako kama mshiriki wa utafiti, tafadhali wasiliana na Meneja wa NORC IRB kupitia nambari bila malipo ya (866) 309-0542. Bodi ya Marudio ya Taasisi inafanya kazi chini ya sheria za serikali na wanapitia uchunguzi kuhusu watu ili kuhakikisha kuwa washiriki wa utafiti wanawekwa kwa maadilu, usalama na haki.



Do you have any questions about this study? If you have any questions or concerns regarding this study please ask. If you think of them later, contact the study number at 866-315-7130.



Je, una maswali yoyote kuhusu utafiti huu? Iwapo una maswali yoyote au shaka kuhusu utafiti huu, tafadhali uliza. Iwapo utayafikiria baadaye, wasiliana na nambari ya utafiti kwa 866-315-7130.



What if I do not want to be in this study? If you do not wish to participate, we sincerely thank you for your time.



Je, iwapo sitaki kuwa katika utafiti huu? Iwapo hutaki kushiriki, tunakushukuru kwa wakati wako.



If you would like to participate: You must be 18 to 49 years of age to take part in this research study.



Iwapo ungependa kushiriki: Ni lazima uwe kati ya miaka 18 hadi 49 ili kushiriki katika utafiti huu.



Participation in this study implies that you have reviewed and understand what is being asked of you for this study and that you are voluntarily willing to take part of this study. Your answers will be private and you can stop at any time.



Kushiriki katika utafiti huu kunamaanisha kuwa umepitia na kuelewa kinachohitajika katika utafiti huu na kuwa unajitolea kushiriki katika utafiti. Majibu yako yatakuwa ya sir na unaweza kuwacha wakati wowote.



Would you like a copy of this form?



Je, ungependa nakala ya fomu hii?



File Typeapplication/vnd.openxmlformats-officedocument.wordprocessingml.document
AuthorSnead, Margaret C. (CDC/ONDIEH/NCCDPHP)
File Modified0000-00-00
File Created2021-01-14

© 2024 OMB.report | Privacy Policy